Usiku wa kuamkia June 27, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiongozana na Kamanda wa Polisi Arusha Jonathan Shanna wameshuhudia zoezi la kuchambaua madini aina mbalimbali ambayo yamekamatwa na Jeshi hilo mpakani mwa Arusha.
Kamanda Shanna amesema madini hayo yaliyokamatwa yana thamani ya Milioni 900 kwa mujibu wa tathmini iliyofanyika.