Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Top Stories

RC Tanga “Nawapa siku mbili, bila Kitambulisho cha JPM hayo ni magendo” (+video)

on

January 9, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine shigela amesema yoyote atakaye fanyabiashara bila kuwa na Kitambulisho cha Wafanyabiashara atakuwa anafanya biashara haramu na atachukuliwa hatua.

RC Shigela ameyasema hayo wakati akitoa Vitambulisho vya Wajasiriamali katika Wilaya ya Korogwe Kata ya Hale Mkoani Tanga ambapo ametoa siku mbili kuhakikisha kila Mjasiriamali anakuwa na Kitambulisho hicho.

RC MWANRI NA WAKANDARASI WAHINDI “SOMA HUKO INJINIA HUU NI MKOROGO”

Soma na hizi

Tupia Comments