Leo August 19, 2019 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amekabidhi magari kwa Maafisa Elimu “Leo tulikuwa na uzinduzi wa magari 30 ambayo yamenunuliwa na Serikali kwa ajili ya Sekta ya Elimu Tanzania Bara, kati ya hayo 26 yanaenda Mikoani, tumeyanunua kwa Tsh. Billion 2.171 na tunayakabidhi kwa Maafisa Elimu wa Mikoa kwa ajili ya kufanyia kazi, nina imani sasa Sekta ya Elimu itaendelea vizuri” – WAZIRI JAFO
“MAAFISA ELIMU WAMETESEKA SANA, HAKUNA GARI TEREMKA BOSS”- WAZIRI JAFFO