Karibu kutazama kwa Dakika 10 jinsi Iringa ilivyozitumia fedha ilizopata kutokana na Mradi wa ULGSP, Mradi wa ULGSP ni maalum kwa Ajili ya Uboreshaji wa mini 18 Tanzania, hapa nimekuwekea ujionea ni kwa jinsi gani Iringa wameweza kujiongezea Mapato yao ya Ndani kupitia Mradi huu.
Kalanga aweka wazi mambo yalifanywa na Serikali baada ya kurudi CCM