Top Stories

LIVE: Vilio, majonzi vyatawala, Viongozi na Mastaa wanahuzunika

on

Baada ya ajali iliyotokea Mkoani Morogoro na kuua watu zaidi ya 60, watu mbalimbali maarufu nchini wametoa salamu zao za rambirambi leo August 10, 2019 kupitia njia mbalimbali.

RAIS MAGUFULI “NIMEUMIA SANA WATU 60 KUFARIKI, ATOA MAAGIZO MAZITO

Soma na hizi

Tupia Comments