Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amesema “Viongozi wa Dini naomba mniombee nataka nikiwa mkubwa niwe kama Wewe, hiyo ni ndoto yangu kabisa”
“Hivi ulivyo Rais wetu angekuwa mwingine Watoto wake tungekuwa tunagombana nao Mtaani lakini Wewe umehakikisha hakuna anayeingilia jukumu lako kama Baba wa familia” RC Makonda