Mkuu wa Wilaya ya Misenyi iliyopo Mkoani Kagera Kanal Denis Mwila amefanya msako na kufanikiwa kubaini zaidi ya mashamba 70 katika eneo la Kakunyu lililopo mpakani mwa Tanzania na Uganda ambapo ameeleza hatua watakazozichukua.