January 25, 2019 Mtoto Ibrahim Joseph mwenye umri wa miezi minne amefariki dunia baada ya kung’atwa na panya kwenye mguu na mkono wake wa kushoto usiku akiwa amelala.
Mama mzazi wa Ibrahim ambaye ni Veronica Haule amesema panya hao wamekuwa wakila baadhi ya mazao na vitu vilivyomo nyumbani kwake lakini alishangaa usiku wa kuamkia jana kukuta Mtoto wake amefariki huku akiwa ameliwa na panya.
BABA NYUMBA YAKE HAINA UMEME ILA MTOTO KAWA WA KWANZA TANZANIA NZIMA FORM FOUR