Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Monalisa na mwanae wamefunguka ishu ya ufaulu, vipi mtoto wa Kajala?

on

Mwigizaji Monalisa amezungumza baada ya kushare matokeo ya ufaulu ya mwanae kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo yalizua gumzo mtandaoni kwa baadhi ya mashabiki ambao walikuwa wakidai matokeo ya mtoto wa Kajala ambaye alikuwa akisoma shule moja na mtoto wa Monalisa.

Kupitia AyoTV na millardayo.com Monalisa amezungumza sababu ya yeye kuyapost matokeo hayo na kama mwanae angefeli je angeweza kupost? vipi matokeo ya mtoto wa Kajala aliyekuwa rafiki na mtoto wake? Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

VIDEO: Mpenzi mpya wa Hamisa amtoa chambo Carry “Dogo toa hiyo kabla sijakuzaa mtoto wa pili”

Soma na hizi

Tupia Comments