Michezo

Manara amtembelea Dogo Kagere nyumbani kwao, kakagua matokeo yake ya darasani ana A masomo yote

on

Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC Haji Manara amesema Simba ni Klabu kubwa hivyo ni lazima iwajali mashabiki wake wote hususani watoto ili kuwajengea uelewa mzuri wa timu yao na wawe mashabiki wazuri hapo baadae.

MANARA AMVAA ZAHERA “HANA HESHIMA, MIMI NA MASAU BWIRE TUKISEMA TUNAFUNGIWA”

Soma na hizi

Tupia Comments