Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako hajaridhishwa na hatua za awali za ujenzi wa majengo ya udhibiti ubora wa Shule ya Manispaa ya Kigoma Ujiji na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kufuatia kujengwa chini ya kiwango hivyo kuagiza kubomolewa na kujengwa upya kwa gharama za wasimamizi wa mradi huo.
Ujenzi huo wa majengo ya udhibiti ubora wa elimu ambayo hadi kukamilika yatagharimu Milioni 152 kila moja Waziri Ndalichako amebaini nyufa katika msingi, matumizi ya mchanga usiokizi vigezo pamoja na matumizi ya tofali zilizo chini ya kiwango.
”TUTABOMOA KILE KIRAMI CHAKE AANZE KUJENGA UPYA’ ‘RC KIGOMA