Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Wanasema Diamond na Alikiba hawakai pamoja, nasema kwangu watakaa’ – Mwakyembe

on

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amewataka Watanzania wote kuungana kwa pamoja ili kukuza sanaa ya burudani na michezo ikiwemo kuichangia timu ya Taifa ya vijana ‘Serengeti Boys’.

Waziri Mwakyembe ameishukuru Kamati ya maandalizi iliyoundwa kwa ajili ya kutoa support kwa timu hiyo kwenda kushiriki michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana Gabon na Fainali za Kombe la Dunia wakiwemo wasanii Diamond Platnumz na Alikiba.

VIDEO: Waziri Mwakyembe alivyoulizwa ilipofikia ripoti ya Nape kuhusu kuvamiwa Clouds 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments