Mama mzazi wa msanii Moni Bi. Fatma Saleh ameelezea alivyolipokea suala hilo hata kufikia hatua ya kumzuwia mwanae huyo kuacha kabisa kujishughulisha na muziki akidai atakuwa radhi auze hata nyanya.
Moni na wenzie watatu akiwepo rapa Roma Mkatoliki, walichukuliwa na watu wasiojulikana wakiwa kwenye studio za Tongwe Records April 5 2017 na kupelekwa kusikojulikana kisha kuonekana April 8, 2017.
“Sitopenda tena mwanangu awe mwanamuziki kutokana na hili tukio. Kwanza mpaka sasa hivi natafakari kuhusu afya yake.” – Bi. Fatma Saleh.
Bonyeza play kutazama…
VIDEO: Roma aongea kwa mara ya kwanza baada ya kurudi uraiani. Bonyeza play kutazama.