Wananchi wa Jimbo la Kilombero, Morogoro kwa mara ya kwanza wamepata kusikia hotuba ya Mbunge wa Jimbo hilo Peter Lijualikali baada ya kutoka gerezani ambapo aliwasili jimboni hapo April 8, 2017.
March 30, 2017 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilimuachia huru Mbunge Lijualikali kwa kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi yake baada ya kukiri kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu.
Bonyeza play kutazama…
VIDEO: Walichokisema Mbunge Prof. Jay na wenzake baada ya Lijualikali kurejea Kilombero. Bonyeza play kutazama.