
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center
1.The Perfect Guy
2.The Transporter Refueled
3.We are your friends
4.Welcome Back
5.Hitman Agent 47
6.Fantastic four