Leo March 13 2017, Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania Mohamed Mpinga amezindua mpango maalum wa kutoa elimu ya matumizi sahihi ya alama za barabarani kwa watoto wa shule na waalimu, mpango ambao unashirikisha shule za Dar es salam zaidi ya 40 na washiriki wanategemewa kuwa zaidi ya 1000. Bonyeza play hapa chini kutazama
VIDEO: Matano ya kufahamu kama una gari lenye Tinted Tanzania, Bonyeza play hapa chini kutazama