Michelle Obama first lady na mke wa Rais Barack Obama wa Marekani ni moja ya First Ladies wanaokwenda na wakati, na ameshatajwa na magazeti mengi Marekani kama mwanamke anaejua kwenda na wakati pamoja na mitindo.
Kuna picha nyingi za first lady huyu kwenye mwonekano tofauti akiwa amevaa nguo za style tofauti, lakini hapa nimekusogezea picha kumi tu za mwonekano wake kwenye mavazi tofauti tofauti.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.