Shindano la kumtafuta Mr. Tanzania linatarajia kufanyika April 22, 2017 katika Gym ya Bodyline Health & Fitness ambapo litashirikisha washindani wengi kutoka sehemu mbalimbnali nchini.
Shindano hilo litafanyika kwa ushirikiano baina ya Bodyline Health & Fitness pamoja na Tanzania Body Building Federation ‘TBBF’.
Kwa mengi zaidi bonyeza play hapa chini kutazama…
VIDEO: Yusuph Mlela ameomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego. Bonyeza play kutazama.