Mix

VIDEO: Agizo la Waziri Nchemba kwa watakaobainika kuwapa mimba wanafunzi

on

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameagiza watu wote watakaobainika kuwapa mimba wanafunzi wa kike na kusababisha kukatisha masomo yao wakiwemo wazazi na walezi, watachukuliwa hatua kari za kisheria ili kutokomeza tatizo hilo.

VIDEO: Baraza la Mitihani nalo lafunguka kuhusu wenye Vyeti feki 

Soma na hizi

Tupia Comments