Tumezoea kuona madaraja ambayo magari hupita chini na juu na pia madaraja ambayo chini huwa ni maji, leo nimekutana na na hii list ya madaraja ambayo juu yana misitu na wanyama wanapita na chini ni barabara ya magari kupita.
Madaraja haya yametengenezwa kwenye njia barabara ambazo pande zote mbili zina msitu ili iwe rahisi kwa viumbe vinavyoishi kwenye misitu hiyo kuvuka upande wa pili, madaraja hayo ambayo yapo kwenye nchi kama Netherlands, Canada, German , Marekani na Ubeligiji
Madaraja haya yanafahamika kama ‘Animal Bridges’ au ‘Eco Bridges’ kwasababu ya uoto wake wa asili na hifadhi ya wanyama wa porini.
Unaweza kuzitazama picha nimekuwekea hapa chini
VIDEO: Hali ilivyo stendi ya Ubungo DSM msimu wa sikukuu ikilinganishwa na kipindi cha nyuma, Bonyeza Play kutazama
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE