Mix

Mtoto wa miaka 14 anavyolea familia nakujisomesha kwa kuendesha tairi (+video)

on

Azali ni mtoto wa miaka 14 ambaye anasoma darasa la sita katika shule ya msingi mwangaza mkoani Arusha lakini amekuwa akijisomesha na kulea familia yenye watoto watu wanne kwa kuendesha tairi mtaani nakupewa fedha na watu baada ya mama yake kuachana na baba yake kutokana na ugomvi

Asia ambaye ni mama yake anasema aliachana na mume wake baada yakuwa anampiga hadi kuzimia.Bonyeza hapa chini kuitazama

DC LONGIDO ATOA UJUMBE ALIOPEWA NA RC ARUSHA KWENYE KIKAO “ALIKUWA ANAONA MBALI”

Soma na hizi

Tupia Comments