Top Stories

RC Makonda “Sijaona Mbunge yeyote, wamehamia Twitter, wanaroga nitoke (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM leo October 29, 2019 “Nilimuambia Rafiki yangu mmoja hivi umechaguliwa na Twitter au na Kata na Jimbo lako?, juzi Rais kasema natoa fedha, bila nidhamu wanajibu tulikuwa nazo kwenye Bajeti, hakuna kitabu kilichotoka Ubungo cha Bajeti kikisema kimetenga Billion 1.5 za Hospitali ya Wilaya”-RC Makonda

MISS WORLD AINGIA TANZANIA KWA MARA YA KWANZA, WAZIRI KUFIKISHA UJUMBE KWA MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments