AyoTV

VIDEO: Katika Maswali na majibu Bungeni leo, Waziri Mwijage kayajibu haya..

on

Wakati bunge likisubiria kupitisha au kutopitisha bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo hotuba yake iliwasilishwa wiki iliyopita na Waziri  Charles Mwijage.

Leo Mei 9 2016 katika kipindi cha maswali na majibu Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuuliza maswali na kupatiwa majibu Hapa kuna hii video ya dakika 7 kujionea Waziri Mwijage akijibu maswali hayo. Hili neno ‘Toothpicks’ lilivyosumbua kutamkika.

ILIKUPITA HII SENTENSI ZA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU SUKARI NA WAFANYABIASHARA WAKINAMAMA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments