AyoTV

VIDEO: Waziri Mwakyembe kuhusu tukio la Clouds Media kuvamiwa

on

Ni March 24, 2017 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alifanya zoezi la kuapisha baadhi ya viongozi aliowateua miongoni mwao alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe.

Baada ya kuapishwa, Waziri Mwakyembe wanahabari walimuuliza kuhusu ripoti ya Kamati iliyoundwa na aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kuchumguza ishu ya Clouds Media kuvamiwa, haya ndio yalikuwa majibu yake……..

>>>’Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi’ – Mwakyembe

Bonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: ‘Unaweza kumchukia mtu lakini usiichukie Tanzania’ – Rais Magufuli. Bonyeza play hapa chini kuitazama.

Soma na hizi

Tupia Comments