Baada ya kupewa jukumu la kuzalisha mbegu za pamba Nchini Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameendeleza juhudi za kuhamasisha kilimo cha kisasa kwa kutumia trekta ambacho kinatumia muda mfupi kwa eneo kubwa.
“Gharama za uendeshaji hazitakuwa kubwa hata dawa za kunyunyizia tunaweza tukatumia Helikopta lazima twende kwenye kilimo cha kisasa na tunatakwa kuzalisha tani 15,000 za mbegu” RC Mwanri