Mix

Picha 7 za Rock City shopping mall… inaanza kufanya kazi kesho Dec 19

on

Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana na pichaz zikionesha Mlimani City ya Mwanza ikiwa kwenye ujenzi.

Sasa good news ni kwamba kesho ni utambulisho wa shopping mall, ambapo kutakuwa na burudani na michezo ya aina yake, ripota wa millardayo.com amefanikiwa kumpata Katibu wa Kampuni ya Mwanza City Commercial Complex wajenzi na wamiliki wa Shopping mall Joseph Mlinzi.

rock 10

‘Kesho na kesho kutwa  kutakuwa tunafanya utambulisho rasmi sio uzinduzi, ujenzi umekamilika na wapangaji tayari wameweka vifaa vyao ndani sasa tunaona kama ni bibi harusi tayari amekamilika kwa kutambulihwa kwa watu;Joseph Mlinzi Katibu Shopping Mall….

Image00001

Image00005 (1)

Image00007 (1)

 

Image00010

 

Image00009

Image00008 (1)

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments