Premier Bet
TMDA Ad

Stori Kubwa

PICHA kutoka Mwanza ambapo imetokea ajali ya kuanguka kwa ukuta wa fensi ya ghorofa..

on

IMG-20150330-WA0017Moja ya story kubwa toka Mwanza leo ni hii ya ishu ya ajali ambayo imetokea ambapo kuna watu watano waliojeruhiwa na kulazwa hospitali ya Bugando baada ya kuangukiwa na kifusi cha ukuta wa fensi iliyokuwa imejengwa kuzunguka sehemu ambayo lilikuwa linajengwa jengo la biashara la Ghorofa saba katika eneo la barabara ya Nyerere jijini Mwanza.

Askari wa kikosi cha Zimamoto na Polisi na mgambo wa Jiji pamoja na Kikosi cha Msalaba mwekundu walifika eneo la ajali hiyo na kuanza kufanya jitihada za kuwaokoa majeruhi hao.

IMG-20150330-WA0018

IMG-20150330-WA0020

IMG-20150330-WA0027

IMG-20150330-WA0028

IMG-20150330-WA0032

IMG-20150330-WA0035

IMG-20150330-WA0037

IMG-20150330-WA0039Taarifa iliyoripotiwa na ITV muda mfupi uliopita imesema majeruhi wawili kati ya watano hali zao sio nzuri.

IMG-20150330-WA0043Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments