Mbunge wa Muleba kusini na aliyewahi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka amekubali kukaa kwenye Exclusive Interview ya AyoTV na millardayo.com na kueleza kwamba amefikia uamuzi wa kutoendelea na Ubunge mara baada ya muda wake wa ukomo kuishia mwaka 2020.
RC MWANRI AMVAA INJINIA “NAMFUKUZA KAZI LEO, SOMA HIYO AKIKUZUGA HAPO”