Katika kuazimsha kumbukizi ya miaka 21 tangu kuondoka kwa Baba wa Taifa Mwl. Julias Kambarage Nyerere tumepiga stori na Mzee Bilali Rehani Waikela mwanaharakati wa kipindi hicho alishirikiana na Baba wa Taifa katika kuandaa kura tatu za ukombozi wa Tanganyika na sasa Tanzania.
Huyu ndiye anadaiwa kuwa Mtanzania wa kwanza kumiliki gari amezungumza namna walivyokutana na Mwl. Nyerere katika kudai uhuru kutoka kwa Koloni la Muingereza.