Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine, Moja ya Habari kubwa ni hii ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Wilson Kabwe kufariki. Wakati mwili wake ukitarajiwa kuzikwa Jumatano ijayo kijijini kwake Mpinji wilayani Same, Mtoto wa marehemu Geofrey Kabwe ametaja chanzo cha kifo chake kuwa ni saratani ya tezi dume na kuharibika kwa ini.
#MWANANCHI Kilichomuua aliyekuwa Mkurugenzi Dar, Kabwe kimetajwa kuwa ni saratani ya tezi dume na kuharibika kwa ini pic.twitter.com/TQsxLLmAYt
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#MTANZANIA Familia ya marehemu Wilson Kabwe imesema itasimamia mazishi na haihitaji ushiriki wa viongozi wa serikali pic.twitter.com/JAcVz3lmR4
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#MWANANCHI Uchunguzi umebaini kuwepo kwa wafanyabiashara wanaoingiza mchele usio na ubora kwa magendo kutoka nje pic.twitter.com/zFG7IVfQ3f
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#MWANANCHI Samaki wanaoingizwa nchini wadaiwa kuotesha wanaume matiti na wanawake ndevu, RC Mbeya aagiza usimamizi pic.twitter.com/MZZRjqRBhN
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#MWANANCHI Tasaf imerudisha Mil 11.3 makao makuu baada ya walengwa kukosekana Misungwi mkoani Mwanza pic.twitter.com/96mHuAJHBE
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#NIPASHE Wafungwa 472 hawajanyongwa tangu wahukumiwe adhabu ya kifo na Mahakama Kuu kwa muda wa miaka 20 pic.twitter.com/F1LOQ213uI
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#MTANZANIA Tanzania imetajwa kuongoza duniani katika orodha ya mataifa ambayo wananchi wake si wakweli pic.twitter.com/fkEpTxpEMP
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#MTANZANIA Serikali imeshauriwa kuvunja ofisi za wakala mji mpya Kigamboni kutokana na kushindwa kuendeleza mradi pic.twitter.com/u5SSMZQ9fQ
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#HabariLEO Virusi vya zika vyagundulika Barani Afrika kwa mara ya kwanza visiwani Cape Verde pic.twitter.com/az36j7ECka
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
#JamboLEO Wanaotumia usafiri wa mabasi ya haraka walalamikia muda wa matumizi ya tiketi na kutorudishiwa chenji pic.twitter.com/kvX9LLn0gq
— millardayo (@millardayo) May 22, 2016
ULIIKOSA VIDEO YA ALIYEKUWA WAZIRI MAMBO YANDANI, KITWANGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI NA KUDAIWA ALILEWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE