Videos

Ni headlines za Diamond Platnumz tena… kaitoa hii video mpya aliyofanya na Mr. Flavour

on

DiamondHii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambae zamu hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour kwenye single inaitwa Nana kupitia kwenye mikono ya director GodFather.

Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumwimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond baada ya kuitazama video na atapita kusoma comments za watu wake.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments