AyoTV

VIDEO: Mapokezi ya Nape Nnauye baada ya kufika jimboni kwake Mtama

on

Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauye amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo.

Kwenye video hii hapa ni jinsi alivyopokelewa na wananchi wa jimbo lake huku baadhi ya wanawake wakijilaza chini wakitaka apite juu yao, bonyeza play hapa chini kutazama.

VIDEO: Nape alivyosimama kwa mara ya kwanza bungeni tangu atenguliwe Uwaziri, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments