AyoTV

VIDEO: Ushauri wa Nape Nnauye kwa Rais Magufuli

on

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amemuomba Rais Magufuli aunde tume huru itakayotoa majibu kuhusu matendo ya utekaji na wale wanaotumia dhamana waliyopewa kuumiza watu. Mbunge Nape amedai kuwa matendo hayo yanamjengea chuki Rais na wananchi, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Mapokezi ya Nape Nnauye baada ya kufika jimboni kwake Mtama, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments