Wakati Bunge la 11 likiendelea Dodoma, May 23 2016 Wabunge walikuwa wakijadili bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Nakukutanisha na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari aliposimama kuhoji tatizo la Migogoro ya mashamba na kisha Waziri William Lukuvi akatolea majibu yake kwenye hii video..
ULIIKOSA HII? EXCLUSIVE YA VANESSA MDEE NA MAMBO 9 YA KUYAJUA KUTOKA KWAKE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE