Ikiwa bado siku moja zitimie siku saba toka Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la Mawaziri, tayari mawaziri waliotangazwa tumeona wakichapa kazi na kwenda sambamba na sera ya Hapa Kazi Tu!!!.
December 16 zilikuwa ni headlines za waziri wa kilimo uvuvi na mifugo Mwigulu Nchemba kufanya ziara ya kushitukiza Kibaha Pwani katika ofisi ya mkuu wa mkoa, waziri Nchemba ametangaza kuwapa masaa 48 kampuni ya Sparkway LTD ili iwalipe bilioni 3.4 wakulima wa korosho wa mkoa wa Pwani. Taarifa zinaeleza kuwa wakulima wataanza kulipwa kuanzia Jumatatu ya December 21.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.