AyoTV

ON STAGE After School Bash: Tazama walichokifanya Navy Kenzo, Jux, Baraka, Young D, Mirror, Ruby na wengine

on

Ni kutoka kwenye After Skul Bash December 12 2015 Escape One Mikocheni Dar es salaam ambapo mastaa kibao wa muziki Tanzania walitokezea kwenye stage wakiwemo Navy Kenzo, Jux, Ruby, Baraka da Prince, Young D na wengine watazame kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments