Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Punguzeni majungu, tumwache Rais afanye kazi’ -Munde Tambwe

on

April 11, 2017 Mbunge wa viti maalum CCM Munde Tambwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo kwa uapande wake alionesha kuchukizwa na baadhi ya wanasiasa wanaokosoa jitihada za Rais wa nchi.

EXCLUSIVE: Maswali nane aliyoyajibu Nape Nnauye, Je ana bifu na mtu? 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments