Top Stories

Ndoa ya Bill Gates yavunjika rasmi

on

Ndoa ya Tajiri wa Dunia Bill Gates na Belinda iliyodumu kwa miaka 27 na kupata Watoto watatu imetangazwa kufika mwisho na sasa kila mmoja anaanza maisha mapya baada ya kuachana.

Taarifa iliyotolewa leo imesema wawili hao wamefikia maamuzi ya kuvunja ndoa hiyo lakini wataendelea kushirikiana kwenye kazi zinazohusu foundation yao ambayo imekua ikitoa misaada kwa Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania.

Ndani ya miaka mitatu hii inakua ndoa ya Tajiri mwingine wa dunia kuvunjika ambapo talaka ya Tajiri Jeff Bezos ilitangazwa April 2019 wakiwa wamedumu kwa miaka 25 kwenye ndoa na kupata Watoto wanne.

RAIS SAMIA AKONGEA KWA VIDEO NA BOSS IMF, BILIONI 650 ZATAJWA “UCHUMI UMESHUKA KISA CORONA”

Soma na hizi

Tupia Comments