Videos

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni zamu ya kuiona hii mpya ya msanii wa Ommy Dimpoz

on

TV zinazidi kupokea video mpya za muziki wa bongofleva ambapo leo May 8 2016 iliyoachiwa ni hii ya msanii kutoka lebo ya PKP ya Ommy Dimpoz aitwae Nedy na single yenyewe inaitwa ‘usiende mbali’ na ukishaitazama sio mbaya ukatuachia na comment yako mtu wa nguvu ili wenyewe wakipita wajue mashabiki zao wameipokeaje.

ULIPITWA? Ulikosa kutazama utani wa JK Comedian kuhusu video ya ‘chura’ iliyofungiwa? tazama hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments