Kupitia instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake na kuandika maneno haya ‘Zic iz 4u bby…zawadi yako my superwomen…chama kubwa 966 Mwezi wa 7 ntakununulia prado sawa?! Hahaha kaa Umooooo @truegal966 ‘
Picha ya gari ambalo Ney wa Mitego amemnunulia mpenzi wake.

Leave a comment
Leave a comment