Michezo

Meddie Kagere amekabidhiwa rasmi tuzo yake

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea club ya Simba SC Meddie Kagere amekabidhiwa zawadi zake za mchezaji bora wa mwezi February 2019 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019.

Meddie Kagere amekuwa ni sehemu ya mchezaji wa Simba SC aliyecheza kwa mchango mkubwa kwa upande wa timu yake ya Simba SC hususani katika kipindi cha mwezi February aliyotangazwa kama mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu.

Leo Meddie Kagere amekabidhiwa tuzo yake na wadhamini wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, ambao ni kampuni ya michezo ya kubashiri ya BikoSports ambapo inaenda sambamba na zawadi ya Tsh milioni 1.

Mashabiki wa Simba na Yanga waiongelea Simba VS AS Vita hapo kesho !!

Soma na hizi

Tupia Comments