AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli ampigia simu Neema na kuongea nae kwenye loud speaker

on

Neema Mwita Wambura alimwagiwa maji moto na Mume wake baada tu ya mume huyo kukasirika kwasababu Neema alichuma Mahindi mabichi na kuyapika bila kibali cha mumewe na baada ya hapo majeraha yamekua yakimsumbua… 

Baada ya Rais Magufuli kumuona amefanya maamuzi ya kumpigia simu pamoja na kumuahidi matibabu pia unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini kuona akiongea na Rais kwa simu.

VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, atoa agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje ya Tanzania kwa dawa za kulevya

VIDEO: Rais Magufuli alivyonunulia watu soda Mwanza na yeye kula nao chakula cha mchana, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments