AyoTV

VIDEO: Ukimuuliza Nape Nnauye kuhusu kuhama CCM, atakujibu haya

on

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo March 28, 2017 amekabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Dk. Harrison Mwakyembe. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Wizara mjini Dodoma.

Baada ya makabidhiano hayo Nape Nnauye amezungumzia kuhusu wanaodai kuwa atahama CCM.

‘Wanaowaza Nape atatoka CCM wanapoteza muda, hata kama yapo ya kurekebisha siwezi nikarekebisha nikiwa nje.’ – Nape Nnauye

Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama

FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi “alietoa Bastola aje hapa’, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments