Duniani

Imetangazwa noti yenye muonekano mzuri kuliko zote duniani kwa mwaka 2016

on

Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’ umetambua ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usalama zaidi. Katika mkutano wao wa mwaka IBNS wameitangaza noti ya Dollar 5 ya New Zealand kuwa noti nzuri ya Mwaka kwenye mashindano ya kimataifa ambapo noti ishirini kutoka duniani kote zilikuwa zimeteuliwa kuwania tuzo hiyo na mshindi alichaguliwa na wanachama wa IBNS.

fedha 1

fedha 2

Unaweza kuniachia comment yako umeionaje noti hii mwonekano wake?

Hizi ni baadhi ya noti ambazo zilishindanishwa pamoja na noti ya New zealand  

Sweden’s 20 kronor

sweden

Noti ya Scotland £ 5

scotland

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA YA WASTARA AKIELEZEA KWANINI NDOA YAKE NA MBUNGE IMEVUNJIAKA NDANI YA SIKU 80

Soma na hizi

Tupia Comments