Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote hapa nimekusogezea kile kilichoandikwa na mastaa wakiwemo wanasiasa leo Novemba 5, 2015.
Hongera Rais JPM na asante kwa maneno ya hekima: “Uchaguzi umekwisha, tuungane kufanya kazi na kuweka pembeni itikadi na utofauti wa vyama
— Reginald Mengi (@regmengi) November 5, 2015
#NW our 5th President John Pombe Magufuli being sworn in. God Bless #Tanzania. Mungu Ibariki #Tanzania #Inauguration — VeeMoneyNeverEver (@VanessaMdee) November 5, 2015
Kwenye siasa, wakati ndio kila kitu. Wakati wa kuingia siasa, wa kutoka, wa kunena, wa kuwa kimya, wa kutenda. Ukijulia wakati utafanikiwa.
— January Makamba (@JMakamba) November 5, 2015
#HappyMagufuliDay My Friend, In Shaa Allah Kwenye Uongozi Wake Tusukume Gurudumu La Maendeleo Ipasavyo Haswaa! ❤️ — Salama Zalhata Jabir (@EceJay) November 5, 2015
So proud of my country. So few African Countries observe what we observe. Peaceful transfer of power
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) November 5, 2015
Kikao cha wabunge wateule wa CHADEMA ndani ya Bahari Beach muda huu… pic.twitter.com/TSnrPBc3Bm — Joseph Haule (@ProfessorJayTz) November 5, 2015
At the President’s oath today ???????????? pic.twitter.com/Viau7U2EmF
— Idris Sultan (@IdrisSultan) November 5, 2015
On my last as Minister for Natural Resources and Tourism, I signed an order to ban resident hunting for the next two years — Lazaro Nyalandu (@LazaroNyalandu) November 5, 2015
Tanzania Oyee! Tanzania, nakupenda kwa moyo wote…
— Lazaro Nyalandu (@LazaroNyalandu) November 5, 2015
Kikao cha wabunge wateule wa CHADEMA ndani ya Bahari Beach muda huu… pic.twitter.com/TSnrPBc3Bm — Joseph Haule (@ProfessorJayTz) November 5, 2015
AIYOLA VIDEO!!!!!! by @harmonize_tz Drops tomorrow!!!!!!!!???? pic.twitter.com/qXEgOX505l
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) November 5, 2015
Asanteni kwa Utumishi/Uongozi wenu bora na imara,nawatakia mapumziko mema. pic.twitter.com/tgmCaxEG6X
— Mwigulu Nchemba (@mwigulunchemba1) November 5, 2015
Hongera sana Rais wa awamu ya tano Dr.J.Pombe .J.Magufuli na Makamu wa Rais Bi. Samia kwa kuapishwa hii leo. pic.twitter.com/u27srlblRF
— Mwigulu Nchemba (@mwigulunchemba1) November 5, 2015