AyoTV

VIDEO: Wizara ya Nishati na Madini imeomba kutengewa Trilion 1.22 kama bajeti yake ijayo

on

Wizara ya Nishati na Madini imepata time ya kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017.Waziri Sospeter Muhongo ndio alihusika kuiwasilisha Bungeni.

Waziri Sospeter amesema…>>>’Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka 2016/17 ni jumla ya Shilingi 1,122,583,517,000. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,056,354,669,000 ni fedha za miradi ya maendeleo sawa na asilimia 94

Fedha za matumizi ya kawaida ni Shilingi 66,228,848,000 sawa na asilimia 6 ya bajeti yote. Kati ya fedha hizo, Shilingi 38,871,230,000 ni kwa ajili ya matumizi mengineyo sawa na asilimia 59 ba Shilingi 27,357,618,000 sawa na asilimia 41 ni kwaajili ya Mishahara ya watumishi wa Wizara na Taasisi zake

ULIIKOSA HII YA HUYU MBUNGE ANAYEJIITA ‘BWEGE’ NA HIVI VITUKO VYAKE?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments