Videos

VideoMPYA: Unakaribishwa kuitazama Jike Shupa ya Nuh Mziwanda ft Alikiba

on

Zimepita wiki kadhaa toka msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda alivyoachia audio ya hit single ya ‘Jike Shupa’ aliyomshirikisha Alikiba, leo June 11 2016 imeachiwa rasmi video ya hit single ya ‘Jike Shupa’, enjoy kwa kutazama dakika tatu na sekunde 50 za video yenyewe mtu wangu.

KAMA ULIIKOSA BIRTHDAY PARTY YA NUH MZIWANDA MAY 15 2016

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments