June 3 na 4, 2017 ni siku ambazo zimepangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Tanzania ambapo kitaifa yatafanyikia nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere,Butiama katika Mkoa wa Mara huku Kaulimbiu ikiwa “Hifadhi ya Mazingira: Muhimili kwa Tanzania ya Viwanda”.
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri wa Mazingira na Muungano January Makamba amesema sababau yakufanya maadhimisho hayo Butiama ni kuuenzi mchango mkubwa wa Baba wa Taifa katika utunzaji wa Mazingira.
Ofa ya siku Tatu kwa Watanzania imetangazwa na Serikali leo!!!