Keep it original mtu wangu !! Hiyo ni nyingine inayokufikia sasahivi kwenye video yake, mweusi G Nako mkali ya chorus kwenye headlines zake anakuja na kitu ‘OG‘ mpyampya kwenye mapokezi ya 2016.
Najua audio yake imeanza kukamata mawimbi sasahivi, jamaa aliwahi pia kusuka hits kadhaa ikiwemo ‘Mama Yeyoo‘- Feat. Ben Pol.
OG ‘Original’ hii hapa kutoka kwa G Nako.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.