Chama cha wamiliki wa mabasi TABOA Kanda ya ziwa kimekaa mbele ya waandishi wa Habari na kutoa malalamiko yao juu ya mfumo mpya wa kielektronic uliopewa jina la E ticket kuwa una wabana wamiliki wa mabasi kwa kuwa mteja anapokata ticket mmiliki wa basi ndio anakatwa na sio mteja mwenyewe.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Katibu wa Chama cha Wamiliki wa mabasi amesema mfumo huo wanatakiwa kuulipia wakati Serikali ndio ilitakiwa ibuni njia ya kuhakikisha wao wanalipa kodi yao.